BIDAS BIDIO
16 musiques au total
nyimbo ambayo inaimbwa kwa lugha ya kirundi ila waimbaji wote niwacongomani (bidas) mzaliwa wa kalemie (honora)mzaliwa wa bukavu tumepatanishwa kwakufanya nyimbo iyi kubwa ambayo imeleta changamoto kubwa inchini burundi kwakuona wacongomani wakiimba