Natamani une composition de Faz B | Fizi Empire
                        Natamani uwe wangu mama 
ila tatizo kwako pendo akunaaa
natamani uwe wangu mama we ndo mama mama kweli sito kvenda
natamani uwe wangu mama 
ila tatizo kwako pendo kwako akunaa
natamani uwe wangu mama we ndo mama mama kweli sito kutendaa
Baby nakupenda naomba uje unienzi
Usiniache na vidonda ...