Natamani

Lyrics - Natamani

Faz B

Date : 22 Février 2019

Faz B Faz B Artist musicien

Paroles de la musique Natamani

Natamani uwe wangu mama
ila tatizo kwako pendo akunaaa
natamani uwe wangu mama we ndo mama mama kweli sito kvenda
natamani uwe wangu mama
ila tatizo kwako pendo kwako akunaa
natamani uwe wangu mama we ndo mama mama kweli sito kutendaa

Baby nakupenda naomba uje unienzi
Usiniache na vidonda nitatokwa na machozi
Penzi lako nalilinda liibwe na waizi
Sababu wananiwinda niwe wao kila mwezi
Wanigeuze govinda niwe nawachuna mbuzi
Naomba utambuwe bila wewe mimi siwezi
Mapenzi ni mapenzi usilinganishe na maji
Maana uzito wa mapenzi ni mkubwa kuliko maji

R/

Kwako nimehapa sitoacha kukupenda
Nawala sina pupa nikikuona natenda
Sauti yako nyororo nikisikia kwa udogo
Naisi nina uro wakula tunda nyororo
Basi nipe kidogo tucheze ndombolo ya soro

R/