Niko Tayari
Verse 1:
It our love's ...
Na bado sija fikiri Napo kwenda nawe
Mungu wa mapenzi ani samehe
Ikiwa ni dhambi mi kuwa nawe
Umesha ni fanya kipofu
Na hitaji uokovu
Moyoni uni poteye
Nataka ku juwa
( ntai pata dawa Ya mapenzi )
Mwenzio Niki uguwa
( Nta fanya je? )
Nakubali kupima ata wengi wana sema
Nta zidi ku penda ata wengi wana nuna bina damu hawa tosheki
Refrain:
Niko tayari ku panda mulima ku panda mulima ku panda mulima
( Kwajili yako )
Nitaimba kwa kila vina kwa kila vina
( Sababu yako )
Niko tayari ku panda mulima ahh
Nita imba kwa kila vina ahh
Verse 2:
Una macho mazuri na fikiri una kulaa wida
Moyoni mwangu na jaa raha sina shida
Your place in my Heart
Mi and U in the sky
Bila uongo Mamy U're my Perfect super star ...
Urembo wako momy una ni fanya mina sahaau njaa
Yote nakuambia becoz we una faa
Usi ni sahau mi
Baby i'm sorry
Remember long time twa toka wapi u and mi
Moyo wangu fasi yako u're my honey
No body can stop us u're not my ennemy
Refrain: