I love You

Lyrics - I love You

CRP

Date : 23 Février 2015

CRP CRP Artist musicien

Paroles de la musique I love You

You win my Dream like an Angel
Baby uhh!
Una kuja kama ndoto you come and light my way
Karibu nawe mi ni kama mtoto
Nacho taka una nipe we
Bado mi sita kosea
We uki ni tupa uta nionea
Baby usiende mbali mbali baki nami
Kweli siku tamani naku penda haki ya nani
Wallah sito ku tenda
Mi ni kama kipofu naishi we unavyo penda

‪#‎Chorus‬ : Baby I love

Simu imake mtu sifa kama ana zistahili
Na usi ngoje siku ya kufa njo useme ukweli
Ready nisha itika
Nisha ku kubali
Ki tabia una sifika
we ni mmoja hakuna wa pili naku ambia
Funga maskio ya kwako mama wata kuambia
Ready haku pende ana ku danganya, uki wa sikia
Haki ya Mungu uta ni umiza sana
Bina damu ni wabaya maneno ya kwao sumu
Usije ni kimbia kwa maneno ya wana damu
Kama alivyo sema Gift usi tuache kwenye hali ngumu
Niambiye nifanye kipi ili penzi letu lidumu
Never let you go,
Kwanza tena njoo,
Uni pige kiss mpenzi uni poze Roho
Uki niacha Soo
Uta fanya Faux
Mwengine simu juwe ni wewe najuwa njo

#Chorus : Baby I love

You're so beautiful naku penda my Gal
Sikia moyo wangu umesha Bloow...