Wema Akiba

Wema Akiba

Furaha Kazi

485 téléchargement(s)

Furaha Kazi Furaha Kazi 12 musiques au total

Télécharger Wema Akiba mp3 (3.74 Mo)

Tu wafanyiye mazuri wanadam pasipo kungoja malipo kwao kwani mwanadam si mwama analipa mazuri kwa mabaya tu. Ulasubiria malipo kwa mwanadam utashikwa na magonzwa. Tu watendeye wema watutendeyae mabaya kwani malipo ni mengi zaidi nyuma.