Parcourez des centaines des lyrics des musiques congolaises sur 243Stars
*INTRO:*
Jay-T , Master Zab on the beat.
*COUPLAIN 1:*
Kwa kweli baby penzi langu
Kwako lili fika mwisho
Mbali na kutaka kwangu
Nime lazimishwa ku kaa mbali na wewe
Basi ni fiche sura yangu wapi.
Maamuzi hayo ume ya toa wapi? Baby!
Kumbuka kuna mashahidi wengi wa penzi letu.
Uwezo ...
Ref: Hadi lini nitasubiri penzi lako? una nichanganya akili, miye mwenzako... (iyelelele mama...iyelelele mama heeeh) 2x
couplet double k:
Ah baby Leo naomba uniambiye
Kwa nini Unanifanya nipagawe?
Kila siku ngoja ngoja, Mimi mwenzako ooh
Maini yameisha oza, Kisa penzi lako oooh
Charlie:
einh ...
Paroles Niache Jonathan Carlos & Blaise’B feat Pis Mamba
Ayo you know
Pis Mamba Oh My God
Carlos Jonathan
Again is Blaise’B
[Blaise’B]
Siku taki tena mama
Nili kukolezeya upendo kama mitendo
Haunitaki tena
Ile mapendo yako basi (oh mama miye)
Sita weza tena nasema basi
Kwanza lile penzi ...
*INTRO:*
*Master Zab* on the Beat
Jay-T
*COUPLAIN 1 (JAY-T):*
Shukurani kwa *Mola*
Anaye fanya sasa tuwe *Hapa*
Shukurani kwa *Mola*
Kwani ombi letu ame jibu *Sasa*
Shukurani kwa *Mola*
Wa alikwa wote wame *Fika*
Furaha Furaha
Ndo maana *MIC* na *Shika*
Siyo kawaida
Lakini ...