Bwana ni nuru

Lyrics - Bwana ni nuru

Furaha Kazi

Date : 2 Avril 2023

Furaha Kazi Furaha Kazi Artist musicien

Paroles de la musique Bwana ni nuru

BWANA NI NURU

Bwana ni NURU ya maisha yetu, tegemeyo tumuogope Nani.

Tusijisumbuwe kwa lolote hii ni hali ya dunia, nimbaya kwa kila binadamu chini ya jua.

Tusifazaike magumu ni somo na mtihani, tunayo hitaji sote kufaulu.

Tusijisumbuwe yote tuonayo ni mapito, nivitisho visivyo na nguvu.

Tusisumbuke kwa lolote tunaye baba anaye tujali tumujulishe haja zetu,
kwa sala na maombi, na kumuchukuru.
Ah ! Yeah.

Tujipe moyo bila woga na ma fazaiko, mwenye vyote ndiye baba yetu sisi.

Tusiogope, taifa la Mungu baba yetu ametuahaidia ufalm.

Bwana anajua mipango yake kwetu ni ya amani na salama juu yetu, siyo mbaya na shida.

Tushike tumaini kwa lile tunalo hubiri na lile tunalo hubiriwa.

Yeye aliye na ahadi ni mwaminifu hata tuteseke kwahaki tufurahi.

Chorus :

Bwana ni NURU

Bwana huyo

Ya maisha yetu

Bwana huyo, bwana huyo, bwana huyooo.

Tegemeyo tumuogope Nani.

A yeah yeah

Bwana ni NURU Ya maisha yetu,

Sisi i, Sisi, sisisisi

tegemeyo tumuogope Nani
tumuogope Nani

Bwana ni NURU

tumuogope Nani

Ya maisha yetu

Sisi tunaye baba

Tegemeyo, tumuogope Nani

Ndiye Mungu wa wajane Na yatima

Bwana ni NURU

Ata tushindiya

Ya maisha yetu

Ata tushindiya baba

Tengemeyo tumuogope nani.

Ndiye baba, ndiye baba tunajua sisi.

Clip - Bwana ni nuru