Tayaweza?

Lyrics - Tayaweza?

Maicos Kapupi

Date : 1 Septembre 2022

Maicos Kapupi Maicos Kapupi Artist musicien

Paroles de la musique Tayaweza?

Immortel SBM superboy

Sijuwi ni mwanze kwa sura
Uzuri wake mi ndo unanichanganya, na niiyonapo taswira ya mwili wake mi ndo Nina pagawa,

Aliye fanya nisahau mabaya yote ya hiyi dunia
Ataniwe namaumivu kiyasi gani tu mi nikiumiya
Maiiiiiii
Minapona aaaaaah aah eeh!
Nikimwona aaaah! Aaaah

Kumbe alinidanganya
Kutwa kipiga mboga ye anadokoa
Mapenzi yakanichanganya siri zandani zote yeye akatoa
Akatowa , akatowa eeeh yeyeeee aah!!

-(Tayaweza je? Tayaweza je ? Tayaweza je?)x5
Aya maisha ya mapenzi !
Eti mi naye atuendani !
Haali yangu ya umaskini !
Tayaweza je miye eeh!

Kutwa pombe na bangi
Kuvuta nipunguze mawazo
Ila nashindwa kabisa moyo wangu unayo kubwa tatizo
To enjoy a life, tulikuwa tu pamoja
Kama kulala twende ndotoni, tulikuwa tu pamoja
Iyo bad life, wanga my wife wowo wouuh wooh!!
Iyo bad life ô, wanga my wife ô oooooh!

Kweli penda anaye kupenda asiye kupenda achana naye
Imebaki tu Story yakwamba mi nilikuwa naye yeye eeeeeeeeeeeeeh yeee yeye!

Taya!!

-(Tayaweza je? Tayaweza je ? Tayaweza je?)x5
Aya maisha ya mapenzi !
Eti mi naye atuendani !
Haali yangu ya umaskini !
Tayaweza je miye eeh!


(Yezb prod light Beatz)

Kweli penda anaye kupenda asiye kupenda achana naye
Imebaki tu Story yakwamba mi nilikuwa naye yeye eeeeeeeeeeeeeh yeee yeye!

Art.@maicoskapupi
Song: Tayaweza ?
Label:SBM MUSIC
Année 2022