Nayaona

Lyrics - Nayaona

Maicos Kapupi

Date : 1 Septembre 2022

Maicos Kapupi Maicos Kapupi Artist musicien

Paroles de la musique Nayaona

Ummmmmmh! Ummmmmmmmh Yeeh!!
Yoyoyo ooh!
SBM Superboy
(John prod beats) immortel
Maiiiiiiiiiii

Ukipata kidogo njo chanzo cha mizozo, ukikosa nayo basi njo chanzo ya machukizo ô
Baba umenifunza mengi ila Léo nayaona aaah!!
Vinadamu niwabaya sana
Hawato Penda ukipata baba

(vinadamu niwabaya sana aaah!, hawato Penda ukipata baba yeeehe!! Eeeh)
Ummmmh!
Watapenda wakuweke chini,
Hawato Penda ukipata money , watataka wakunyime furaha, siku zote we uteseke
Muda wote wakutafuta mwisho wake na usipate

(Hallo! Hallo! Hallo! Hallo ! Baba Aaaaah!)x2
-nimekuwa nayaona
-yanayo fanya nipate oma
-nimekuwa nayaona
-yanayo fanya nipate oma
Aii yeeh!!

Instrumental

Aah! Pole pole najikongoja najuwa siku ni moja atabariki Mahulana
Baba neno moja asante, umenikuza nimekuwa aah!
Aukutaka mi nikose shule, aukutaka mi nife na njaa, ata iwe ugali daga ulipambana sana
( ukutaka mi nikose shule, ukutaka mi nife na njaa, ata iwe ugali daga ulipambana sana)
Thamani yako nikubwa kweli kumzidiya mama
Ulipambana iyo vita kali tuishi salama
Ivi Léo nayaona aaah!

Ka kipaji kangu ka kuimba kana wakera sana
Wanakesha kwa waganga kisa kuroga nisitoke
Facebook matusi kwa mitandao, wanataka wanipoteze mwanao
Yee iyeeh eeh !

Watapenda wakuweke chini,
Hawato Penda ukipata money , watataka wakunyime furaha, siku zote we uteseke
Muda wote wakutafuta mwisho wake na usipate

(Hallo! Hallo! Hallo! Hallo ! Baba Aaaaah!)x2
-nimekuwa nayaona
-yanayo fanya nipate oma
-nimekuwa nayaona
-yanayo fanya nipate oma

-
-
-
Watapenda wakuweke chini,
Hawato Penda ukipata money , watataka wakunyime furaha, siku zote we uteseke eeh!

(Hallo! Hallo! Hallo! Hallo ! Baba Aaaaah!)x2

Homundu akitha Homundu(l'homme tue un homme)
Art. @maicoskapupi
Song: Nayaona
Label: SBM MUSIC
Année 2022