Warning: session_start(): open(/var/lib/lsphp/session/lsphp74/sess_7fnn2jj2e85bginbfodfno9531, O_RDWR) failed: No space left on device (28) in /home/243stars.com/musique.243stars.com/app/Core/Language.php on line 12

Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/lib/lsphp/session/lsphp74) in /home/243stars.com/musique.243stars.com/app/Core/Language.php on line 12
Lyrics - Rudi Kwa Mama
Rudi Kwa Mama

Lyrics - Rudi Kwa Mama

Kevin Stone

Date : 4 Septembre 2019

Kevin Stone Kevin Stone Artist musicien

Paroles de la musique Rudi Kwa Mama

RUDI KWA MAMA
La chanson de kevin stone from KEN-P MUSIC label.

2019

Verse:

KEN-P MUSIC

Kévin stone hhh

Wanted beat

Umenichanganya kisa pesa zako wouwoohh
Nimechekwa mimi juya penzi lako wouwoohh

Tena nachoka mimi ata raha ya kuwa nawe sioni
Mimi maskini nyumbani kwetu nguzo tegemeo sioni

Acha nirudi kwa mama
Aliye nilinda mimi
Anauzunika mama
Kisa naolewa mimi eh

Chorus:

Nyumbani ueleweki yehh ehh
(Pianoohh)
Pesa zako sitaki yehh ehh
(Pianoohh)
Unaniona sifayi yehh ehh
(Pianoohh)
Unavuta chumbani yehh ehh
(Pianoohh)

Nyumbani ueleweki yehh ehh
(ahnn ahnn)
Pesa zako sitaki yehh ehh
(ahnn ahnn)
Unaniona sifayi yehh ehh
(ahnn ahnn)
Unavuta chumbani yehh ehh
(ahnn ahnn)


Verse:

Mapenzi upofu kweli
Nilipoteya njiya mimi
Aliye nilinda mimi
Leo raha sipati kweli

Bora kuwa ata popo
Wa mapenzi
Kulko kuwa nawe
misiwezi
Bedini nimekuwa
mwanafumzi
Ukitaka unataka
misiwezi

Chorus:

Nyumbani ueleweki yehh ehh
(Pianoohh)
Pesa zako sitaki yehh ehh
(Pianoohh)
Unaniona sifayi yehh ehh
(Pianoohh)
Unavuta chumbani yehh ehh
(Pianoohh)

Nyumbani ueleweki yehh ehh
(ahnn ahnn)
Pesa zako sitaki yehh ehh
(ahnn ahnn)
Unaniona sifayi yehh ehh
(ahnn ahnn)
Unavuta chumbani yehh ehh
(ahnn ahnn)

Verse:

Namuuliza jiardy
=Rudi kwa mama
Iye
=miye nirudi kwa mama

Na Denise anasema
=Rudi kwa mama
Iye
=miye nirudi kwa mama

Namuuliza gaste men
=Rudi kwa mama
Uwo
=miye nirudi kwa mama

DJ Rash my prod
=Rudi kwa mama
Iye
=miye nirudi kwa mama

Didier docta kwenye redio
=Rudi kwa mama
Uwo
=miye nirudi kwa mama

Namuuliza héritier
=Rudi kwa mama
Ahhh
=miye nirudi kwa mama

Sammy Daddy anasema
=Rudi kwa mama
Ahh
=Ahhhn ahhhn

Mira Mummy My mum
=Rudi kwa mama
Ahhh
=Ahhhn ahhhn

F. R. C. Hhhhh
Kevin stone eh
KEN-P MUSIC

(Pianoohh)
(Pianoohh)
(Pianoohh)

produced by
DJ Rash le suave The Wanted fire