Akuone

Lyrics - Akuone

Kevin Stone

Date : 20 Avril 2019

Kevin Stone Kevin Stone Artist musicien

Paroles de la musique Akuone

Kevin stone

Title of Song: akuone

intro:

Ahhhhhnn ahhhnn ahhnnn
Wouwoohh uwoohh ahhhnn ahnnn

Verse1:

Nifanye miniwe handy yako
Tena nikushike
Unitiye kama mtoto kwako
Tena minideke
Nifanye niwe kama shuka kwako
Bedini nikufinike ehh
Sioni wengine mi sura yako
Nifunge nifunguwe ehh

Wakituchukiya waambiye Sijali
Watabandika nawata banduwa ehh
Tushikamane tuzidi kwende mbali
Napaka kifo kitukute eh

Kwako nimezama aahh
Tena nimekwama aahh
Kweli nakupenda aahh
Kwengine sitokwenda aahh

Chorus:

Mimi sina nose kwako
=ila napumuwa ahh
Ata waniseme kwako
=Tena sibanduki iihh
Mimi sina macho kwako
=ila nimeona Aahh
Tena natuliya kwako
=Sipeperuki iihh


Verse2:

Unanifanya paka Nisikuchoke
Kile utaki niambiye nijuwe
Kauli yangu misitaki unune
Unifunike mi wengine nisione

Tunaendana ehh
Unaendana
=namihhh
Tunaendana ehh
Unaendana
=namihh

Tena usiwa amini waoh
Ziba skiyo my babehh
Minawewe paka mwishoh
Kifo baby kitutengehh

Kwako nimezama aahh
Tena nimekwama aahh
Kweli nakupenda aahh
Kwengine sitokwenda aahh

Chorus
Mimi sina nose kwako
=ila napumuwa aahh
Ata waniseme kwako
=Tena sibanduki iihh
Mimi sina macho kwako
=ila nimeona aahh
Tena natuliya kwako
=Sipeperuki iihh


Verse3:

Kesho nyumbani kwetu baby nikupeleke ehh
Ukawaone wazazi wangu watueleze ehh

Dédicaces:

Wangu mummy
=Akuone
Sammy Daddy
=Akuone
Na Denise
=Akuone
Na Enocky
=Akuone

Kisha nitangaze ndowa baby niwe nawe kiyamaahh
Tena tuzaye watoto baby tuwe baba na maman ahh

Mira mummy
=Akuone
Gaste man
=Akuone
Na Samira
=Akuone
Wangu Dan
=Akuone

F. R. C
Kevin stone

Ahhhh
(Dj Rash on the track)

(Tunaendana unaendana)
(Tunaendana unaendana)

(Pianoohh)
(Pianoohh)
(Pianoohh)
(Pianoohh)

produced by
The wanted fire