Mapenzi Bwana

Lyrics - Mapenzi Bwana

Sir Phabby

Date : 10 Avril 2019

Sir Phabby Sir Phabby Artist musicien

Paroles de la musique Mapenzi Bwana

MAPENZI BWANA

by Sir Phabby

Introduction

You Ndale "fizi empire on the beat "
Ahahahahah
"you child haha haha"


Hook
Mapenzi bwana, mapenzi bwana
Mapenzi bwana, mapenzi bwana
Mapenzi bwana , mapenzi bwana

Mapenzi bwana ,mapenzi bwana
Mapenzi bwana ,mapenzi bwana
Mapenzi bwana , mapenzi bwana x2V1
Kwanza unakutwa tu una cheka-cheka ukipendwa deka-deka
Mapenzi hisia sio kukesha tu una bweka-bweka
Kwa uchafu umeremeta hata busu ropoka
Yayusha ndoto kwa picture ya EX unafoka
Haupati kwa kuonga ma doh "dollar" au kwa kuonga mandinga
Mke wa boss wahuni wanatiya mimba
Hakuna ubora usifike kuchonga ngenga
Unaye muita beauf anaemeya mzigo na ana kwenda
Dume una miss your queen una m-call she's busy
Una restart your feelings una-say please
Muda unapita una hisi ume pata mwizi
Kumbe amedata na m-baba huku anamuita CHIZ "robert"
Kila mpendwa uwa hajali anavyo lelewa
Uwa ana hisi kutendwa bora tendo kuliwaiya
Usipo taka uahibike atauhacha muda una pita
Kifuatacho ni uridhike na awa dames wa masika
Hook

Mapenzi bwana, mapenzi bwana
Mapenzi bwana , mapenzi bwana
Mapenzi bwana ,mapenzi bwana

Mapenzi bwana ,mapenzi bwana
Mapenzi bwana , mapenzi bwana
Mapenzi bwana , mapenzi bwanaV2
Bora kwa lift una beba-beba wivu sio ngao
Hawasifiki kwa mbio na huwezi wazidi mbio
Pamba-pamba kwa ua masela ndo ukamua
Sio hustle au majanga kuhama NUNDA hajaamuwa
GESTA akiwa loyal msoto unakuja fasta
Unampa moyo malipo yake ni pressure
Utoke vipi na moyo umebanwa sasa
Unajifunza uvumilivu na kidogo ya u-philosopher
U-best wa BRENDA na BABU ulivunjwa na POLYVALENT
Ma sisters duu nao kutwa kuzala-zala
Yakafanya JIBU kufukuzwa kwao malala
Hauna chance kumuacha CELINE umgande SOLA
Mapenzi ya ujana jina maji jaa kina
Unguza safina itoboke mwisho zama
Siku hizi owa mkeo mchumba ni wamwenzio
Yule unaye mpenda leo ina maana kesho kilio
Atatosa ndugu..maumivu
Akutose mahabuba


Hook
Mapenzi bwana mapenzi bwana
Mapenzi bwana mapenzi bwana
Mapenzi bwana mapenzi bwana

Mapenzi bwana mapenzi bwana
Mapenzi bwana mapenzi bwana
Mapenzi bwana mapenzi bwana


Outro

Yeah ZKN,' BSF ,' Innocent Kaluta , Destin Amury , Fizi Boy Simba

Anga Za Home in the house
Wasomi dot com
"child take five now"