Double K Legba boy
                    Artist musicien
                
            
Hadi Lini
                Ref: Hadi lini nitasubiri penzi lako? una nichanganya akili, miye mwenzako... (iyelelele mama...iyelelele mama heeeh) 2x
couplet double k:
 Ah baby Leo naomba uniambiye
Kwa nini Unanifanya nipagawe?
Kila siku ngoja ngoja, Mimi mwenzako ooh
Maini yameisha oza, Kisa penzi lako oooh
Charlie: 
einh Baby usiseme ivo utaniumiza ah enh
mpaka nashindwa kukehelewa ah enh
siyo kama sitaki tena ila naofia
ukisha mega ukanitema kisha nika liya.
Dk: 
Mapenzi ya ivo wapi na wapi, wapi na wapi mama?
mi nakupenda ukweli sifichi ukweli sifichi mama.
Charlie:
mapenzi yaivo wapi na wapi, wapi na wapi baba