Ndoa yenu

Lyrics - Ndoa yenu

Utukufu Choir

Date : 29 Avril 2018

Utukufu Choir Utukufu Choir Artist musicien

Paroles de la musique Ndoa yenu

Ref:
Mfunge ndoa aaah
Mfunge ndoa yenu x2
Mfunge ndoa

¶Neema nakupenda siyo uongo
Kama Yesu na kanisa nita jitowa
Nita kupa kwa uwezo furaha ya moyo
Kwani ume kubali kuolewa nami

¶Bienfait na mimi Nina kupenda
Nita achat wazazi na ku fuata wewe
Milele na Milele nita kuwa wako
Na mi Nina kubali kuolewa na we

Ref: Mfunge ndoa...

¶Na ujuwe ndoa ni ya watu wali
Mtu wa tatu ni Yasu mwenyewe
Na kuomba, epuka maneno, maneno, maneno
Haya jengi ila yana bomoa

¶Na mi na ku ahidi nita kuwa mwaminifu
Sita Sikiya maneno maneno
Kwani mwanamuke mu pumbafu
Huibomowa nyumba yake mwenyewe

Ref : Mfunge ndoa aaah...