Angel

Lyrics - Angel

Gentil-B

Date : 26 Septembre 2017

Gentil-B Gentil-B Artist musicien

Paroles de la musique Angel

Verse 1:
Sometimes aki ni touch
Mina feel mina punch
Kusema kwao misitaki
Kukupenda kwangu mi ni haki
Sunajuwa eeeee
Wewe njo maji, mi ni samaki
Mimi ni asali, we ni nyuki
Haki bila wewe singekuepo
Kuona kwangu mbingu mi ni simple uuue

Chorus:
So baby let me call you now my angel
'Cause your love is very stranger
Ndani ya maisha yangu you give me pleasure
Dhahabu sina but you're my treasure uuu eh
Yeah! Dhahabu sina but you're my treasure
Dhahabu sina but you're my treasure oooh iiie
[Callme Gentil B]
[Hboy music]hehe Done

Verse 2:
Mapenzi Matamu tamu sana
Mpaka moyo minapana
Asante kwani aliupokeya
Apendi kuuona unaumiya
Maisha yangu yote n'tamupenda
Ata siku moja n'tamutenda
Penzi lake lina nitakasa
Malaïka wa moyo wangu kabisa
Doctor wa maisha yangu yuko kando
Najuwa atatunza my heart's mdundo
[Zraya]

Chorus....

Bridge:
We njo all of my life
Angel and my wife
Unanifanya minagotwa
Kama kichwa
Minakubali kuki katwa
Ili nibaki nawewe
Mlinzi wangu ni wewe
Yusufu,Maria wangu ni wewe
Cheka kidogo ni drive crazy
Na wenye wivu watabaki deezy eeh

Hook:
Sunajuwa kwamba moyo wangu we
Unakupenda sana tena mama ee
Na fasi yote mimi tutakwenda ee
Nakila mimi nitakupa eee hmm
[Malick]
[Baby along time me i sent ya]
[Aah,baïkoko on the beat]

Chorus...
Hook...

Clip - Angel