Ubaguzi

Lyrics chanson Ubaguzi

P/Auteur : Kral Boy DragonEnregistrer PDF Enregistrer TXT

Intro:

Haaaa yoka mako tako shika motaka
Bado kral boy
Badooo

Drop:

Batabwa baluba batwa tuko bamoya
Apana kupikana mipanga kuchomana bisu bayama
Kuishi kwa amani na umoja njo kitu kya mana
Ubaguzi ubaguzi bayama
Kugombana kukosana siyo vyema

Chorus:

Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi
[ hubaa apana ]
Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi
[ Ubaguziiiih ]
Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi
[ Tuna katala siye ]
Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi

Verse:

Umoja ni nguvu
Utengano ni uzaifu si unajuwa aaa
Ivi Mu Congo ana amani
Kutoka uku kwenda kule uta sikia risasi bayama
Eeeeh Congo ni moya aaaah
Damu moya aaaa
Congolais ana kuwa rédigé
Inchi inakuwa compliqué
Paye inakuwa reculé
Ni mwe batuu

Drop:

Batabwa baluba batwa tuko bamoya
Apana kupikana mipanga kuchomana bisu bayama
Kuishi kwa amani na umoja njo kitu kya mana
Ubaguzi ubaguzi bayama
Kugombana kukosana siyo vyema

Chorus:

Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi
[ hubaa apana ]
Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi
[ Ubaguziiiih ]
Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi
[ Tuna katala siye ]
Apana ubaguzi
Ubaguzi ni mubaya ubaguzi

Verse:

Mutu angalie ,... Tunamitegemeya
SAMBA KAYABALA, SWEDI KANYANDURU, CYRIL KIMPU AWEL, ALAIN MULYA

Na usafiri
Na ba mwizii
Mutu angalie mwe mutu angalie hee. Heee ehee

Outro:

Badoo dragon

Whriten by Mc Kral Boy Dragon
Beat by Glory Link Beat
mix and Master by Dj Rash Wanted

Ubaguzi mp3Télécharger Ubaguzi mp3 (Kral Boy Dragon)
Vocal Sebene Zouk Rumba Chacha Reggaeton Gospel