Ime Baki Story

Lyrics chanson Ime Baki Story

P/Auteur : Justin Jay-TEnregistrer PDF Enregistrer TXT

LYRICS IME BAKI STORY by JAY-T

The Begining

Huuuuum!
UYU NI MIYE
yeah! Iyeeeeeh!
Jay-T
Oooooooh!

PART 1

Kwa vile siku juwa ya kwamba wewe uta ni umiza
Siku ona budi moyo wangu bule kuku penda

Kwa vile maumivu siku fikiriya nita pata
Uka ya tumiya Mapenzi kwa nafasi yaku lipiza

Lakini Leo na ona
Ume ni koseya sana
Kama nili ji toleya maisha yangu mi kwako weee
Lakini JAY-T na juta
Naji oneya uruma
Jamani umesha ondoka
Ume niacha Alone! Alone!

Nime pata maumivu mi niki sikiya Ume ni choka
Na muda huu nime teseka
Mwenzako nime juta
Yale maumivu ya goti
Unge ipanda kwa maji moto
Ila hii ni moyo
Ni moyo hiiii

CORUS

Ime Baki Story!
Ime Baki Story! iiih!
Ime Baki Story!
Bila wewe mama!

Ime Baki Story!
Ime Baki Story! iiih!
Ime Baki Story!
Nina juta sana!

PART 2

Upendo wako unge kuwa ni Mkopo
Ninge kupa unipende
Lakini moyo wangu ni kama Mtoto
Every day na ogopa vile

Ulivo kata kamba kwenye roho yangu
Uka sema hu ni taki
Uka niacha peke kwenye ma taa
Mi mwenye pendo la zati
Yuko wapi ex wa moyo wako nimu honge aibadili historia
Isiya zangu ziko kwako
Usi nitese mi mwenziyo

Yuko wapi ex wa moyo wako ooooh!
Isiya zangu ziko kwako
Uuuuuiih!

CORUS x2 =>

Huuuuum!
Jay-T
UYU NI MIYE

The End

Ime Baki Story mp3Télécharger Ime Baki Story mp3 (Justin Jay-T)
Blues Rock Reggae Accoustic A cappella Acid Gospel