Elimu isio na faida

Lyrics chanson Elimu isio na faida

P/Auteur : Sir PhabbyEnregistrer PDF Enregistrer TXT

ELIMU ISIYO NA FAIDA


By Sir Phabby ft mr Gave


Introduction

Ah bon "salongo a.a.act media"
You Ndale you know what man, it's more than pain ... Anga Za Nyumbani .. ahahha call me Sir Phabby
Oooh anga za nyumani anga za nyumbaniiii

V1
Shule ni msingi ndio sija lipinga
Na kusoma mingi sio kuupoteza ujinga
Les années sont bien calculée; c'est nôtre slogan
Haupiti mwaka bure hata ukikosa una pandaga
Elimu ni msingi, elimu kwa wale walio na mali
Anatoka mshindi yule mtoto wa kitajiri
Mi n'na degre..cha ajabu miradi ni kwa wasomi
Wenye C.V... Awa check n'na vyeti hata na mi
Uwo ni upendo au kuujenga urafiki
Msomi nakosa mchongo vipi nipate hata jiti
Nasoma nipate kazi niya dhibiti majukumu
Vitu vingine vipo wazi je! sote tuwe walimu?
Moja na moja ni ngapi "mbili" hata mi naiweza
Salary ndogo ya chalk haifai kutuliwaza
Uliye na sare usin'dharau na mi ni msomi
Sema viongozi wamesahau kuna wengi kitaaniHook "mr gave"

Masomo soma akini kazi hakuna haha "elimu isiyo na faida"
Kama kusoma wengi wanasoma sana "elimu isiyo na faida "
Wenye elimu wengi hawa wathamini
Mitaani wanakuwa kama wahuni
Hivi faida gani ya kwenda shule eehe "elimu isiyo na faida "V2
Na jaza pepper yakuomba kazi kila ngambo
Niki saka-saka ajira sipati hata ka mchongo
Uliye na kazi-kazi utasema elimu faida
Wakati tunao sota tunaona kusoma shida
N'na njaa.. utajuwaje wakati wewe umeshiba
Una jikwaa;unalia na vumilia niliye na mwiba
Mna kaa kuchekelea doctor kuongozwa na diploma
Mkimuona haja goma ; kweli ? wana fanya ujamaa
Offers wana zipata utasema kapewa chance
Wakati yupo doctor anaye ongozwa na hasiye jasisi
Aliye pata vyeti kwa kupitia mtu fulani
Kwa bei ya mnada kama pesa ya mboga za majani
Wanao choka kuvuta subira uvuta bangi kwa hasira
Hawajali hasara maana wakipata "ndo wana kula "
Wasio na kazi tunashinda kupiga magenge
Tuna wasubiri viongozi waje tupewe Cretes za pombe


Hook "mr gave"

Masomo soma lakini kazi hakuna haha "elimu isiyo na faida "
Kama kusoma wengi wanasoma sana "elimu isiyo na faida "
Wenye elimu wengi hawa wathamini
Mitaani wanakuwa kama wahuni
Hivi faida gani ya kwenda shule eehe "elimu isiyo na faida "
V3
Sina maana usepe shule wewe mwanafunzi
Msaada hautoki bure bila tume ya uchunguzi
Kuna zari.. , labda we utafanikiwa
Kuza habari..,wambie vigogo walio inukia
Waeleze kuna mahali masela tunaumia
Tutakuona mashuuri kutetea we sikia...
Tamaa; usikate tamaa ukalegea
Kawaida hasiye juwa njia kamwe hawezi potea
Hatuwezi kosowa; siwezi kosea niki waambia
Ajira zikipungua wasomi ndo wanaumia
Wana account za insta sio account za banks
Wana vyeti ajira za leo bila kitu haupati
Shule tumepewa, tumetokomeza zero
Ajira zimepitea faida ya msomi ni kero
Uliye na sare usin'dharau na mi ni msomi
Sema viongozi wame sahau kuna wengi mitaani


Hook "mr gave"

Masomo soma lakini kazi hakuna haha "elimu isiyo na faida "
Kama kusoma wengi wanasoma sana "elimu isiyo na faida "
Wenye elimu wengi hawa wathamini
Mitaani wanakuwa kama wahuni
Hivi faida gani ya kwenda shule eehe "elimu isiyo na faida " x2


Outro

Oohw woh uuwoh o'o'o'o
Oohw woh uuwoh o'o'o'o
Oo'oooh..Oo'oooh
Ooh
Oo'oh oo'ooh
Oooh

Amisi amani pelé

Elimu isio na faida mp3Télécharger Elimu isio na faida mp3 (Sir Phabby)
Dance Kizomba Ndombolo AfroTrap Electro Afropop Gospel